Tangazo

May 16, 2012

Washiriki wa Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia Nchi Mjini Bonn Ujerumani

Picha ya pamoja ya baadhi ya washiriki Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, wakiiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia Nchi Mjini Bonn Ujerumani. (na Evelyn Mkokoi)

No comments: