Tangazo

June 8, 2012

Polisi Mkoa wa Ruvuma wakamata Silaha

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Deusdedit Kaizilege Nsimeki akionyesha silaha iliyokuwa ikitumika kwa  ujambazi katika Kata ya Nyoni wilayani Mbinga baada jambazi aliyekuwa na silaha hiyo kuindosha na kufanikiwa kutoroka. Kwa hisani ya Songeahabari Blog

No comments: