Tangazo

June 22, 2012

RAIS AREJEA TOKA DODOMA LEO


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  akitokea Dodoma katika ziara ya kikazi. PICHA NA IKULU

No comments: