Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambaye pia ni Mkaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa (UN), Ludovick Utouh akiongea na waandishi wa habari kuhusu Taasisi 10 za UN ambazo zitafanyiwa ukaguzi chini ya usimamizi wake ambapo watumishi 60 kutoka ofisini yake watafanya kazi hiyo. Kwa kipindi cha miaka sita nchi za Tanzania, China na Uingereza zimepewa jukumu la ukaguzi wa hesabu za UN. Picha na Anna Nkinda – Maelezo |
No comments:
Post a Comment