Tangazo

August 28, 2012

Msaidie Mama huyu Popote Umkutapo


MSAADA WA MATIBABU: Mkazi wa Kijiji cha Mnamba kata ya Nampa mkoa wa Lindi, Rafael Mohamed  (36)anayesumbuliwa na uvimbe wa pua tangu mwaka 1984 akisaidiwa na mtoto wake  Shafi Abdarah mwenye umri wa miaka 18.,kwenda kutafuta mahitaji ya kila siku. Mama huyo anaomba msaada wa matibabu kwani madaktari wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi wameshindwa kumfanyia upasuaji.

Mwanafunzi wa shule ya msingi Nyangao ya wasioona na wanaoona, iliyopo Wilaya ya Lindi,  Hussein Omari   akimsiiliza   Rafael Mohamed, anayesumbuliwa na  ugonjwa wa uvimbe ambao umemfanya ashindwe kuona  wakati  walipokwenda shuleni hapo kwa ajiri ya kupatiwa msaada wa  vyakula mbalimbali vilivyotolewa msaada na wasamalia wema.

No comments: