Tangazo

August 28, 2012

Ufunguzi wa Tawi la CCM Marekani wafunika

    Mheshimiwa Abdulhaman Kinana akiingia ukumbini uku akiongozana na viongozi wa tawi la CCM hapa DC.

Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota kiongozi wake alikuwepo, North Carolina, New York na Taxas.

    Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiriza risala lilikuwa lina sumwa ukumbuni hapo.

     Mwenyeketi wa tawi la CCM DC, Loveness akiongea kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya ufunguzi wa tawi la CCM hapa DC.

    Mh. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa na Mwenyekiti wa tawi la CCM, DC Loveness.















No comments: