Tangazo

October 19, 2012

Happy Birthday Emmanuel Masele

Mwanafunzi wa Sunrise Promary School and Nursery, Emmanuel Masele akikata keki wakati wa hafla ya Siku yake ya Kuzaliwa ambapo ametimiza Miaka 8, iliyofanyika shuleni hapo Regent Estate Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.Kulia ni rafiki yake mpendwa, Abubakar Muhidin na (Kushoto) ni Ahamed Ally.

Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Msingi na Chekechea ya Sunrise, Neema Daniel akimsaidia mtoto Emmanuel Masele  kukata keki wakati wa hafla hiyo.

Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Msingi na Chekechea ya Sunrise, Neema Daniel akimlisha keki mtoto Emmanuel Masele  wakati wa hafla

Mtoto Emmanuel Masele  akiwaga keki ya Birthday yake kwa wanafunzi wenzake darasani. 

No comments: