Tangazo

July 10, 2013

ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI, DK. JOHN MAGUFULI KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA JIJINI DAR

Muoenekano wa ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni katika awamu ya kwanza ambalo umekamilika kwa asilimia 47, katika mradi huo ujenzi huo utakaogharimu sh.Bilioni 214, kati ya fedha hizo asilimia 60 zimetolewa na Shirika la Hifadhi ya Mfuko wa Jamii (NSSF). PICHA ZOTE/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO

Waziri wa Ujenzi Dkt, John Magufuli, (mwenye kofia ya pama) akiongea na  Diwani  wa kata ya Mwenge Dkt. Julian Bujugo(aliemshika begani) wakati ya ziara yake.

Picha ya pamoja kati ya Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli  pamoja na viongozi waliokuwa katika ziara yake.

Muonekano wa ujenzi unaoendelea wa barabara ya Davis Corner- Vituka - Jet Corner.

Moja ya  vituo vya mradi wa Mabasi ya mwendo kasi (DART)  barabara ya eneo la Ubungo,ukiendelea.

Muonekano wa sehemu ya kituo cha mabasi ya mwendo kasi  eneo la Kigamboni.

No comments: