WAKATI VIONGOZI HAWA WANAONGOZA KATIKA NCHI ZAO WALIONEKANA
HAWAFAI LICHA YA NCHI ZAO KUWA NA AMANI.
WANANCHI WAKAOMBA NGUVU YA KIGENI ILI
KUWAONDOA MADARAKANI NA MATAIFA YA MAGHARIBI KUINGILIA KATI WAKAFANIKISHA KUWAUA KINYAMA.
BAADA YA VIFO VYAO WANANCHI WALISHANGILIA KUUAWA KWAO WAKIJUA KWAMBA WATAKUWA
NA AMANI.
LEO HII WAO KWA WAO WANACHINJANA NA BAADHI YAO KUSEMA HERI UTAWALA
WAO KULIKO ILIVYO SASA.
WATANZANIA TUNAJIFUNZA NINI KWA AMANI TULIYONAYO HUKU
WENGINE WANASEMA HAKUNA AMANI?
No comments:
Post a Comment