Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha moja kati ya mashine 10 za kudurufia CD za muziki zilizokamatwa na polisi katika msako wa wanaotengeneza CD feki za muziki wa wasanii mbalimbali nchini. Watu 20 wakiwemo wamiliki wa nyumba wawili waliowapangiza watuhumiwa hao. Msama alikuwa anaonesha mashine hizo leo katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, Ubungo Dar es Salaam.Mashine na CD zilizokamatwa zina thamani ya sh. mil. 200. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Baadhi ya mashine hizo zilizokamatwa katika msako huo
Sehemu ya mashine na dawa zinzotumika kutengenezea CD
Msama akisaidiana na Poilisi wa Kituo cha Urafiki kumwaga CD mbalimbali zilizokamatwa maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam
Msama akizimwaga CD zilizokamatwa jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha moja kati ya mashine 10 za kudurufia CD za muziki zilizokamatwa na polisi katika msako wa wanaotengeneza CD feki za muziki wa wasanii mbalimbali nchini. Watu 20 wakiwemo wamiliki wa nyumba wawili waliowapangiza watuhumiwa hao. Msama alikuwa anaonesha mashine hizo leo katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, Ubungo Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Msama akionesha dawa na rangi zinztotumika kutengenezea CD
Msama akionesha mashine ya kubadilishia rangi za macover ya CD
Msama akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi cha Urafiki kuhusu sakata hilo ambapo ameapa kupambana na wezi wa kazi za wasanii mpaka mwisho.
Msama akionesha baadhi ya CD feki zilizokamatwa ambapo alisema mashine na CD zilizokamatwa zina thamani ya sh. mil. 200
Sehemu ya CD zilizokamatwa
Moja ya CD iliyokamatwa ikiwa na stempu feki ya TRA
CD feki ya msanii Bahati Bukuku iliokamatwa ikiwa na Stempu feki ya TRA
CD nyingine feki iliyokamatwa
No comments:
Post a Comment