Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia, Hani Abdullah Mominah, wakati alipofika
Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2015 kwa ajili ya kumuaga
baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment