Mtungi uliojaa kwa kuzima Moto |
Mtungi uliotupu kwa maana ya kwamba mshale wake umerudi kushoto kama
unao kwenye gari lako,ofisini au nyumbani ujue hilo ni kopo tu hautakusaidia chochote kuzima
moto. Sana sana utautumia kuwadanganya askari na wakaguzi wasiojua tu. Kwa ufupi
unajidanganywa wewe mwenyewe.
Mtungi ulioactive kwaajili ya kuzima
moto mshale wake utakuwa kwenye green (kijani). Ikiwa mshale utakuwa
kulia mwa alama ya kijani mtungi huu umejazwa kupita kiasi na ni hatari.Imeandaliwa na RSA na Dj Sek Blog
Huu ni mtungi ambao hauna ujazo wowote na hauwezi kuzima moto kwa namna yoyote ile. |
No comments:
Post a Comment