Tangazo

August 2, 2011

Mackrine Jastine ndiye Miss Tourism Mbeya 2011

Miss Tourism Mbeya 2011, Mackrine Jastine baada ya kuvalishwa taji lake.
Nne Bora katika shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja.
Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiwa katika mavazi ya Ubunifu.
Wanamuziki wa bendi ya FM Academia walikilishambulia jukwaa wakati walipotumbuiza katika shindano hilo la kumsaka Miss Tourism Mbeya. Picha zaidi: www.burudan.blogspot.com

No comments: