Tangazo

August 1, 2011

Waganga na Wakunga wa tiba Asilia wakutana Dar


Baadhi ya wanachama wa chama cha waganga na wakunga wa tiba asilia Tanzania (CHAWATIATA), wakiwa katika mkutano Mkuu wa ngazi ya Taifa uliofanyika jijini Dar es Salaam ukiwa na lengo la kujadili rasimu ya katiba ya chama hicho ambayo ilipitishwa bila kupingwa.

Mwenyekiti wa CHAWATIATA, Idd Seleman (katikati) akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti ngazi ya Taifa, Mussa Hamis (kushoto) na Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam, Kataka Said wakati wa mkutano wao wa kujadili na kupitisha katiba ya chama hicho uliofanyika jijini Dar es salaam.


No comments: