Tangazo

August 1, 2011

Maisha Upande wa Pili wa Sarafu

www.ladyjaydee.blogspot.com
Hii sio sinema wala picha za kuungwa, ni maisha ya kweli ya watanzania wengi waishio mikoani. Watoto hawa walinaswa na kamera yetu wakifanya kazi ya uchotaji maji kwa kutumia baiskeli huko Katumba-Mpanda.

Mtoto ameelemewa anaamua kuikokota baiskeli baada  ya kachoka.PICHA ZAIDI: www.ladyjaydee.blogspot.com

No comments: