Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Mahusiano, Steven Wasira akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Igunga kwa titeki ya CCM, Dk. Dalaly Peter Kafumu, jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Mwamashinga jimboni humo mkoani Tabora. (Picha na Bashir Nkoromo) |
No comments:
Post a Comment