Tangazo

October 4, 2011

HATARI!... TANESCO ELIMU KWA UMMA INAHITAJIKA

Transfoma ya umeme mkubwa ikiwa imezingilwa na maboksi na bidhaa mbalimbali nje ya duka moja lililopo katika Barabara ya Uhuru eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam jana hali inayoonekana kuwa ni jambo la kawaida tu katika maeneo mbalimbali ya Jiji ambapo watu wamekuwa hawachukui tahadhari. PICHA/DAILY MITIKASI BLOG

No comments: