Hawa ni wazee wakongwe wa maphotos hapa nchini katika taswira iliyonaswa takribani miaka kama tisa iliyopita yaani mwaka 2002 na mahali walipo kwa sasa (kutoka kushoto), Mmbaga (TBC1), Seleman Mpochi (The Guardian Ltd), Muhidin Issa Michuzi (Daily News), Moshi Kiyungi (amestaafu), Emanuel Herman 'Kalimanzila' (Mwananchi), Mzee Juma Dihule (amestaafu) na Obeid Mwangasa (ITV). Picha na Mbeya Yetu Blog |
No comments:
Post a Comment