Mchuuzi akikaanga samaki aina ya Pweza kabla ya kuwauza katika Soko la Samaki la Kimataifa la Magogoni jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Pweza ni kitoweo ambacho kimekuwa kikipendwa na watu hasa wa ukanda wa Pwani na inasadikiwa kuwa husaidia kuongeza nguvu za kiume. PICHA/DAILY MITIKASI BLOG |
No comments:
Post a Comment