Tangazo

October 24, 2011

Maadhimisho ya Siku ya Fimbo Nyeupe Mkoani Singida

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akionyeshwa Shati na Mtaalamu asieona, Bw. Abdalla Nyangalo wakati alipotembelea Maonyesho ya Walemavu (Wasiona) katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Fimbo Nyeupe yaliyofanyika Mkoani Singida Oktoba 22, 2011. Wa pili (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Bw. Parseko Kone. [Picha na Ali Meja}

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan (kushoto),  akipimisjhiwa nguo kwa kutumia viganja vya mikono  na Mtalamu wa Kushona asieona, Bw. Abdalla Nyangalo wakati alipotembelea Maonyesho ya Walemavu {Wasiona] katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Fimbo Nyeupe yaliyofanyika Mkoani Singida Oktoba 22, 2011. Wa pili (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Bw. Parseko Kone. [Picha na Ali Meja}

No comments: