Tangazo

October 24, 2011

'UN FAMILY DAY' YAFANA KATIKA VIWANJA VYA LEADER'S CLUB

Familia zikiwa pamoja wakati wa Siku ya Wanafamilia wa UN (UN Family Day), iliyofanyika  katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Wiki ya Maadhimidho ya 66 ya Umoja Mataifa nchini.
JAMANI NYIE VIPI JIPANGENI BASI  TUANZE JUA KALI: Ililfika zamu ya Wakubwa kupimana nguvu katika mchezo wa kuvuta kamba baina ya Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa.
Vuta nikuvute....!!!
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alberic Kacou akionekana kufurahishwa na ushindi wa Vijana wake.
Vikombe kwa ajili ya washindi wa mechi kati ya UN na Wizara ya Mambo ya Nje.
Pichani Juu Kapteni wa timu ya Mpira wa Miguu ya Umoja wa Mataifa akipokea kikombe cha ushindi wakati wa mchezo wa kuvuta kamba kwa niaba ya wafanyakazi wenzake kutoka kwa mgeni rasmi Mkuu wa Itifika  Balozi A. Itatiro. Chini  UN Oyeee....
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika picha ya pamoja na kikombe chao.
Wakati wa menu la Mchana uliwadia.
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Alberic Kacou (wa pili kulia) akiwa na Vijana wake wa kazi. Kutoka (kushoto), Hoyce Temu na David Mbulumi
Kwaito limekolea.
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na binti ambaye angependa kuwa kama yeye hapo baadaye.


No comments: