DK. MARY MWANJELWA AJIBU KERO MBALIMBALI ZA WAKAZI WA MWANJELWA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mh. Dk. Mary Mwanjelwa akizungumza na wananchi wa Mwanjelwa katika kiwanja cha Sido.
Mh. Dk. Mary Mwanjelwa akihutubia wananchi katikati ya madimbwi ya maji ya mvua huku akiahidi kumwona Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya ili amwombe afukie madimbwi hayo huku wananchi wakimshangilia kwa ahadi hizo. Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu blog
No comments:
Post a Comment