Tangazo

January 16, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU C.D. MSUYA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, Mstaafu, Cleopa David Msuya kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 16, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Cleopa David Msuya, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Januari 16, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: