MAKOCHA WA MASUMBWI TANZANIA WAANZA KUNOLEWA NA MKUFUNZI WA KIMATAIFA MKOANI PWANI LEO
Kocha wa Mchezo wa Ngumi Rajabu 'Super D' (kulia) akibadilishana mawazo na Mkufunzi wa Makocha wa Masumbwi wa Kimataifa, Josef Diouf kutoka Shirikisho la Dunia la Mchezo wa Ngumi (AIBA). Katikati ni Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga.
Baadhi ya makocha mbalimbali kutoka mikoa ya Tanzania Bara wakiwa katika kozi hiyo iliyoanza mjini Kibaha leo.
No comments:
Post a Comment