Tangazo

January 16, 2012

WAFANYABIASHARA WA VITANDA WA MAGOMENI KOTA WALALAMIKIA KUTELEKEZWA NA HALMASHAURI

Wafanyabiashara wa Vitanda walioondolewa katika eneo la Kota za Magomeni ili kupisha ubomoaji wa kota hizo na kuanza kwa mradi uliokusudiwa, Bakari Abdallah (kushoto) na Omary Ally, wakipanga biashara yao hiyo pembezoni mwa Barabara Magomeni Barafu ili kusubiri wateja kama walivyokutwa na piga picha wetu jana. Wafanya Biashara hao wameilalamikia Halmashauri kwa kuwatelekeza mahala hapo bila kuwapatia eneo la kufanyia biashara kama ambavyo waliahidiwa. Picha na Mpiga Picha Wetu.

No comments: