Tangazo

January 16, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA FEDHA ZA SERIKALI MOROGORO LEO

Rais Jakaya Kikwete akizindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17, 2012. Nyuma yake ni   Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera.

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17, 2012. Kushoto  yake ni   Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera.

Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi  toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh katika hafla ya uzinduzi wa  jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17, 2012. wengine ni Waziri wa Katiba Mh Celina Kombani (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera na mkuu wa Wilaya ya Morogoro.

 Rais Jakaya Kikwete akielekea kupanda mti baada ya kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17, 2012. Pamoja naye  ni   Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh. PICHA NA IKULU

No comments: