Tangazo

January 17, 2012

MAANDALIZI YA MWILI WA MAREHEMU MH. REGIA MTEMA (MB) MUHIMBILI ASUBUHI HII KABLA YA KUPELEKWA KARIMJEE





Maafisa wa bunge (Sargent at arms),ndugu pamoja na viongozi wa Chadema  wakiweka jeneza lenye mwili wa marehemu Mh Regia Mtema MB kwenye gari tayari kuelekea karimjee kwa heshima za mwisho asubuhi hii. Kwa hisani ya Mjengwablog

No comments: