Bi Harusi mtarajiwa Rehema Kiluvia akiwa na dadake Lulu Kiluvia wakitoka nje ya ukumbi ambako dada alificha zawadi yake ya gari aina Fun Cargo.Kitchen Party hii imefanyika usiku wa jana January 31 2012 katika ukumbi wa Dunkan House uliopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wakina mama wenye majina , wafanyabiashara na warembo , wanamuziki, waandishi na watangazaji.Blogu hii inamtakia kila la kheri Rehema katika kuanza ukurasa wake mpya wa maisha. Picha zaidi tembelea www.bongoweekend.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment