Tangazo

February 7, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AMUAPISHA JAMES MSEKELA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALY

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mhe. James Msekela, anayekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 7, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiongea na Dr James Nsekela na Mkewe baada ya Dr Msekela kula kiapo cha kuwa balozi wa Tanzania nchini Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA/IKULU

Dr James Msekela na Familia yake baada ya kuapishwa na JK  kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar.PICHA/IKULU

No comments: