Tangazo

March 12, 2012

'Citi Women Group' washerehekea Siku ya Wanawake Duniani

Balozi Liberata Mula Mula (kushoto), akipokea zawadi ya maua kutoka kwa Mwanachama wa Kikundi cha Wanawake cha CitiBank  ' Citi Women Group', Brigite Karekezi muda mfupi baada ya kuhutubia hafla fupi ya kifungua kinywa iliyoandaliwa na kikundi hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro Kempinski) jijini Dar es Salaam Machi 08.12.  Picha zote na John Badi wa Daily Mitikasi Blog

Balozi Liberata Mula Mula (kulia), akihutubia hafla hiyo.

Balozi Liberata Mula Mula (kulia), akiimba na wanachama wa kikundi hicho.

Balozi Liberata Mula Mula (kulia),akipokea zawadi ya kitenge kutoka kwa Mwenyekiti wa ' Citi Women Group', Rehema Mugasha.

Balozi Liberata Mula Mula (aliyeshika maua), akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa ' Citi Women Group'.

Wanachama wa ' Citi Women Group', wakiwa katika picha ya pamoja.No comments: