Tangazo

March 7, 2012

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI - CDF NA IGP WAZUNGUMZA NA MAAFISA WA POLISI MJINI MOSHI LEO

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Davis Mwamunyange akitoa Mada  katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro Machi 07.2012. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Davis Mwamunyange akizungumza na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said  Mwema akifafanua jambo  katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

No comments: