Tangazo

March 8, 2012

VODACOM yatoa Washindi 100 WA 50,000/- kila Mmoja katika Droo ya Siku ya Promosheni ya M-PESA

Meneja Mahusiano kwa Umma na Habari za Mtandao wa Vodacom Tanzania,  Matina Nkurlu (kushoto)  akionesha nambari za washindi 100 wa droo ya siku ya promosheni ya M-PESA waliojishindia Sh. 50, 000 kila mmoja, wakati wa hafla ya kuchezesha droo hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Mtaalamu wa Huduma za Ziada kwa Wateja wa Vodacom, Reenu Verma na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Bakari Maggid.

No comments: