Tangazo

March 5, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA MABALOZI WA UTURUKI NA UFARANSA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini, Bw. Marcel Escure kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam March 5, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini,. Bw. Marcel Escure, Ofisini kwake jijini Dar es salaam March 5, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini, Bw. Ali Davutoglu, kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam March 5, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: