Tangazo

May 28, 2012

Mama Asha Bilal nchini Botswana

Mke wa  Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Botswana baada ya kuzungumza na Watanzania hao leo jioni mjini Gaborone Botswana. PICHA NA VPO

No comments: