Tangazo

June 16, 2012

Miss Kigamboni City 2012 ni Edda Sylvester

Miss Kigamboni City  2012 , Edda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wake wa pili Agnes Goodluck (wapili  kushoto) na mshindi wa tatu Elizabeth Boniphace (wapili kulia) na (Kulia) ni Mshindi wa Nne, Esther Albert na (kushoto0 Mshindi wa Tano, Hadija Kombo. Shindano hilo limefanyika katika Ukumbi wa Navy Beach, Kigamboni jana usiku na kushuhudiwa na mamia ya wakazi wa Kigamboni. Warembo hawa wote 5 wamepata tiketi ya kuingia Kambi ya Miss Temeke 2012 ambayo inawarembo 15.

No comments: