Tangazo

June 14, 2012

Mkuu wa Mkoa Dar, Mecky Sadick akabidhi Bendera kwa Taifa Stars kuifuata Msumbiji

 Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Kaseja (kushoto) akipokea bendera ya Taifa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki. Timu ya Taifa ya Tanzania inakwenda Msumbiji kucheza mechi ya marudiano ya kufuzu Mataifa Afrika 2013 dhidi ya Mambaz.

No comments: