Tangazo

June 18, 2012

MWILI WA WILLY EDWARD WAWASILI MUHIMBILI DAR



Mwili wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward ukuwasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam kuhifadhiwa, ukitokea Morogoro alikopatwa na mauti jana.

Waandishi wa habari, Asha Kigundula wa Jambo Leo na Mwani Nyangasa wa Mtanzania wakilia kwa uchungu.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts, Benny Kisaka (kulia) akimfariji mdogo wa marehemu Willy Edward, Ezekiel Ogunde.

No comments: