Tangazo

June 18, 2012

Semina ya Viongozi wa Kidini katika kukuza Utalii


Baadhi ya Viongozi wa madhehebu mbali mbali ya kidini wa Mkoa wa Mjini  Magharibi wakisikiliza  kwa makini hotuba ya ufunguzi wa  semina ya siku moja ya Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya siku moja kwa  Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo Juni 18.12. Kulia ni  Msahauri wa Rais, masuala ya Utalii, Issa Ahmed Othman na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, Said Ali Mbarouk na (kushoto) ni Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii, Ali Halil Mirza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa kidini baada ya kufungua semina.

No comments: