Tangazo

October 9, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA TCD

Waziri Mkuu, Mkuu Mizengo Pinda akiwa na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD) baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 8, 2012. Wejumbe hao ni viongoazi wa vyama mbali mbali vya siasa nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: