Sarita akiwa anawakaribisha rafiki zake waliohudhuria katika hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake. hafla hiyo ilifanyika nyumbani Kwao Kijitonyama
Sarita Swaleh akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
Akimimina Shampeni tayari kwa kuwapa rafiki zake kipenzi waliohudhuria hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Sarita Akimlisha Keki mmoja wa Wadogo zake
Sarita Akimlisha Keki Mmoja wa Rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake hapo jana nyumbani kwao
Muda wa Maakuli sasa kila Kitu kilikuwa Kujisevia
Keki kwa Shampeni ikiwa ndani ya eneo la tukio hapo jana usiku wakati wa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mdau Sarita Swalehe
Hapo Vinywaji kwanza vikitembea
Baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo jana usiku iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
Sarita Swaleh akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika Jana nyumbani kwao
No comments:
Post a Comment