Wakurugenzi pamoja na Mameneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano. |
Kutoka kulia ni Bw. Henry Machoke, Mkurugenzi wa Masoko, akibadilishana mawazo na Meneja Masoko wa NIC, Elisante Maleko, na Meneja wa tawi la Ubungo, Segeja Mabula katika mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment