Tangazo

March 6, 2013

Airtel “AMKA MILIONEA” zaongeza zaidi ya Milion 270/-

· Kwa siku 60  zaidi ya wateja 580  wa Airtel kuibuka na mamilioni hayo.
· Tuma shinda kwenda 15595 ili kujiweka kwenye ushindi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeongeza muda wa promosheni yake kabambe ya 'AMKA MILIONEA' ikiwa ni pamoja na kuongeza kiasi kikubwa cha FEDHA, ili wateja wake kuendelea kujizolea mamilioni zaidi.

 Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw. Jackson Mmbando (PICHANI), amehabarisha kuwa promosheni hiyo iliyodumu kwa siku 90 hapo awali na kufanikiwa kuzawadia  zaidi ya milioni 400 kwa wateja wameamua kuiendeleza ili wateja waendelee kufaidi zaidi.

No comments: