Tangazo

May 29, 2013

Soko la Mangula Makambako lawa maarufu kwa kuuza mboga mboga

Soko la Mangula,Makambako mjini Njombe linazidi kuwa maarufu kila kukicha kwa kuuza mboga za majani kwa wingi. 
Mama Joshua akipanga vizuri mboga za majani aina ya figili tayari kwa kusubiri wateja,leo katika soko la Mangula,Makambako. Picha na Adam H. Mzee

No comments: