Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (wa pili kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto kwake) pamoja na baadhi ya wakazi wa Wazo Hill, wakishangilia muda mfupi baada ua uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo na Mwenyekiti wa Mtaa wa Wazo, Mtuzya Abdallah ,Mtuzya. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175. |
No comments:
Post a Comment