Tangazo

January 14, 2014

ENZI ZA MWALIMU UKIKUTANAE LAZIMA UTAFUTE UKAAJI WA HESHIMA!!


1 comment:

Anonymous said...

Bwana, utamu wa picha kama hii ni kurushia majina ya hao wanaomzunguka mwalimu hapo. Unajua kwanini? Yaani huenda kwa sasa hatuwezi hata kutambua kwa jinsi afya zao zilivyobadilika au umri ulivyokwenda. Itatusaidia kujua kuwa ujana ni moshi, nasi tutafikia umri au miili yao.