Tangazo

March 12, 2014

SITTA NDIYE MWENYEKITI WA KUDUMU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Waziri wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Urambo, Mh. Samweli  Sitta ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalum la Katiba kwa kura 487 na mpinzani wake Hashim Rungwe kapata 69 walio piga kura jumla ni 566 kula zilizo haribika ni 7.

No comments: