Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania wakiogelea wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana. |
Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania wakishiriki katika michezo wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana. |
Wafanyakazi wa Airtel na familia zao wakijisevia maakuli. |
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (kulia) akiwahudumia chakula wafanyakazi wa Airtel na familia zao. |
Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka (kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, Jackson Mmbando na Mshindi wa Tatu, Kema Mabango. |
No comments:
Post a Comment