Wimbo mpya ya msanii
Metty iitwayo "Najua" inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 Octoba siku ya
jumatano ya wiki hii katika vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya
Tanzania.
Wimbo huo amashirikishwa
msanii Conrad anaekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa bongo flava ikiwa
wapenzi wengi wa muziki wa kizazi kipya watapata nafasi ya kumfahamu msanii
huyo.
Najua ni wimbo
uliotayarishwa katika studio mpya za kisasa Centric Records chini ya producer
Eng.Davy Machords.
Metty amewaomba wadau na
wapenzi wa muziki wa kizazi kipya kutoa ushirikiano wa nguvu katika kazi zake
za muziki.
No comments:
Post a Comment