Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye
picha ya pamoja baadhi Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania,ambao ndio
waratibu wakuu wa Maonyesho hayo ya Kimataifa ya Utalii
"Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani
City,Jijini Dar es Salaam Oktoba 2,2014. PICHA NA IKULU |
No comments:
Post a Comment