Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais,
Bi. Emelda Teikwa (kushoto), Injinia Ladslaus Kyaruzi kutoka Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira (aliyesimama kushoto), Bw. Fred Manyika kutoka Ofisi ya Makamu
wa Rais Mazingira (aliyekaa), na Mtaalam wa masuala ya Hali ya Hewa kutoka
nchini Botswana, Bw. Balisi Gopolang (kulia), wakijadili jambo katika mkutanao
wa maandiilizi wa Mkutano wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea mjini
Geneva Uswiss. ( Picha na Evelyn Mkokoi)
|
No comments:
Post a Comment